Ni nini kinacho wahamasisha kuujua?

Mara nyingi mwanadamu hutumia nguvu ili kulazimisha maoni yake, ushawishi wake na kuhakikisha maslahi yake. Historia imejaa mifano mingi ya hilo kwa kada zote zinazo jinasibisha na dini na madhehebu mbali mbali.
Kwa mfano, historia inathibitisha kwamba operesheni za mauaji ya kutisha ziliwakumba wenyeji (wakazi wa asili) wakati wavumbuzi na wahamiaji walipofika kwenye Ulimwengu Mpya (Amerika ya Kusini na Amerika ya Kaskazini) mpaka Kasisi wa Hispania Bartolomede de Las Casas (2) akalielezea hilo kwa kusema kwa kauli yake baada ya kushuhudia mauaji hayo ya kinyama kwamba: “Hakika, (wahamiaji na wavumbuzi hao) hawakuwa wakiwaangalia wakazi wa asili kama wanavyo muangalia binadamu, bali waliwahesabu kuwa watu duni hata kushinda wanyama!!”.
Maelezo mafupi ya Maangamizi ya Wahindi Wekundu, Na Bartolome de las Casas

Register or Login with your Social Account

Register or Login by Email for free download
Please, log in
Description

Double sided A4 color copy paper.

Paper Size: 80-100g

Reviews (0)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ni nini kinacho wahamasisha kuujua?”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

About Great Islamic values

Parturient ut id tellus vulputatre ac ultrlices a part ouriesnt sapien dignissim partu rient a a inter drum vehicula. Ornare metus laoreet tincidunt eros rolem tristique pretium malada.

Cras rhoncus vivamus luctus platea arcu laoreet selm. Curae est condenectus sed hac a parturient vestibulum.

technical description

OUR ADDRESS

New York

56 E. Fieldstone Street
Summerville, SC 29483

Email:  [email protected]
Phone:  +18 (0) 545 77 32

Paris

28 Boulevard des
Capucines, 75009

Email:  [email protected]
Phone:  +18 (0) 545 77 32

CONTACT US

Whether you’re looking for answers, would like to solve a problem, or just want to let us know how we did, you’ll find.

Register

Your personal data will be used to support your experience throughout this website, to manage access to your account, and for other purposes described in our privacy policy.