Hati za Kiarabu

Siku moja mmoja wetu wakati wa ziara yake ya kutembelea mojawapo ya majumba ya makumbusho ya mashariki anaweza kusimama kwa mshangao mbele ya bango la sanaa lilioandikwa kwa ustadi kwa herufi za Kiarabu, au kupitia kifaa chochote cha mawasiliano huenda akaona bango la sanaa lililo andikwa na kuchorwa kwa hati na nakshi za Kiarabu, zilizomvutia machoni na kumfanya asimame japo kwa muda mdogo ili azitafakari. Kama mmoja wetu hajawahi kubahatika kufanya kitu kama hicho, inawezekana michoro iliopo kwenye jalada la ukurasa huu uliopo mikononi mwako ikaamsha hisia zako za udadidisi ili kutaka kujua kitu kuhusu sanaa hii. Ni nini urermbo na nakshi ambazo Waarabu wa kale na wa sasa wamezifanyia ubunifu mkubwa wa sanaa? Ipo siri gani katika uzuri wa kipekee wa nakshi hizo? Ni kipi kilicho zitofautisha hati za Kiarabu kwakuwa na sanaa hii ambayo ni kama haipatikani katika lugha nyingine?.

Register or Login with your Social Account

Register or Login by Email for free download
Please, log in
Description

Double sided A4 color copy paper.

Paper Size: 80-100g

Reviews (0)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hati za Kiarabu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

About Islamic civilization

Parturient ut id tellus vulputatre ac ultrlices a part ouriesnt sapien dignissim partu rient a a inter drum vehicula. Ornare metus laoreet tincidunt eros rolem tristique pretium malada.

Cras rhoncus vivamus luctus platea arcu laoreet selm. Curae est condenectus sed hac a parturient vestibulum.

technical description

OUR ADDRESS

New York

56 E. Fieldstone Street
Summerville, SC 29483

Email:  [email protected]
Phone:  +18 (0) 545 77 32

Paris

28 Boulevard des
Capucines, 75009

Email:  [email protected]
Phone:  +18 (0) 545 77 32

CONTACT US

Whether you’re looking for answers, would like to solve a problem, or just want to let us know how we did, you’ll find.

Register

Your personal data will be used to support your experience throughout this website, to manage access to your account, and for other purposes described in our privacy policy.