Itakuwaje Tuzo ya Nobeli Mwaka 1130 AD

Ustaarabu wa Kiislamu ulitamalaki ulimwengu kwa zaidi ya miaka 800 katika kipindi cha mwaka (630-1430 Miladia). Ulimwengu wa Kiislamu, ukiwa na lugha yake ya Kiarabu, ulikuwa nambari moja kwenye elimu na sayansi. Sayansi ilifika kiwango chake cha juu katika enzi zilizoitwa Enzi za Kiislamu za Dhahabu, ambapo ilijitokeza idadi kubwa ya wanasayansi ambao walikuwa wamebobea katika taaluma za sayansi ya tiba, falaki, hesabu na uhandisi. Wanafunzi wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani walimiminika kujifunza kwa wanasayansi hao. Vitabu na tafiti zao zilikuwa zikifundishwa katika vyuo vikuu vingi duniani, kama ilivyokuwa kwa vitabu vya wanasayansi wawili Avicenna na Alkhawarizmi na wengineo katika wanasayansi bingwa ambao vitabu vyao vilikuwa vikifundishwa katika Chuo Kikuu kikongwe cha Sorbonne nchini Ufaransa, mpaka miaka ya ishirini ya karne hii.

Register or Login with your Social Account

Register or Login by Email for free download
Please, log in
Description

Panels: in longitudinal and transverse dimensions of A2 dimensions.

Longitudinal banners: Size: 80cm * 200cm

Reviews (0)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Itakuwaje Tuzo ya Nobeli Mwaka 1130 AD”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

About Islamic civilization

Parturient ut id tellus vulputatre ac ultrlices a part ouriesnt sapien dignissim partu rient a a inter drum vehicula. Ornare metus laoreet tincidunt eros rolem tristique pretium malada.

Cras rhoncus vivamus luctus platea arcu laoreet selm. Curae est condenectus sed hac a parturient vestibulum.

technical description

OUR ADDRESS

New York

56 E. Fieldstone Street
Summerville, SC 29483

Email:  [email protected]
Phone:  +18 (0) 545 77 32

Paris

28 Boulevard des
Capucines, 75009

Email:  [email protected]
Phone:  +18 (0) 545 77 32

CONTACT US

Whether you’re looking for answers, would like to solve a problem, or just want to let us know how we did, you’ll find.

Register

Your personal data will be used to support your experience throughout this website, to manage access to your account, and for other purposes described in our privacy policy.